- Mifugo

Changamoto katika kilimo na ufugaji msimu wa mvua

Sambaza chapisho hili

Kilimo katika msimu wa mvua

Huu ni msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini. Bila shaka wengi wetu ni wakulima na wafugaji hivyo bado tunaendelea na shughuli zetu za kila siku.

Je, ni changamoto zipi unazopitia katika msimu huu wa mvua kwenye shughuli zako za kila siku za kilimo?

Tushirikishe/tueleze ili tuweze kupeana ushauri nini chakufanya

Tuma ujumbe wako hapa au kupitia namba o762 333 876 au tuma ujumbe wako kupitia facebook www.facebook.com

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *