Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (Tosci), inaendelea kutoa nafasi kwa wakulima kupata elimu ya kutosha kuhusiana na mbegu bora.
Wakulima wanaaswa kuachana na mfumo uliopo wa kuthamini mbegu kutoka nje ya nchi, na badala yake wathamini mbegu zinazozalishwa nchini kwa faida yao na vizazi vijavyo.
Halikadhalika wakulima watoe taarifa haraka kwenye taasisi hiyo pindi wanaposhtukia uwepo wa mbegu feki.
Maoni kupitia Facebook