- Kilimo, Kilimo Biashara, Udongo

Je, wajua sababu kumi za kuendeleza kilimo hai

Sambaza chapisho hili

  • Chakula kinakuwa na ladha ya asili: ladha yake ni nzuri
  • Kimesheheni viinilishe vya asili vya kutosha kwa afya: kwa asili kinajenga afya.
  • Hakina mabaki hatarishi ya kemikali: hakina kemikali
  • Kinaepusha matumizi ya vyakula vilivyobadilishwa vinasaba /GMO: kinatunza afya ya mlaji
  • Havisababishi magonjwa yanayosababishwa na upulizaji wa kemikali kwa mkulima wala mlaji: mkulima na mtumiaji/ mlaji hubakia salama
  • Kinahimiza utunzaji wa bioanuai na mbegu za asili: mbegu zisizowekewa hataza
  • Kinachangia kuboresha afya ya udongo, mimea na wanyama: ni mwafaka wa kwa mazingira ya asili
  • Kinatambua maasifa asili ya mkulima : kinaheshimu busara za asili
  • Kinashabihiana na kilimo endelevu pamoja na njia za uzalishaji chakula: uendelevu wa uhakika wa chakula
  • Hakichafui na kuharibu mazingira: ni rafiki wa mazingira
Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

2 maoni juu ya “Je, wajua sababu kumi za kuendeleza kilimo hai

  1. Tunaomba mtusaidie wakulima kuja na makala inayozungumzia kilimo Hai cha Matufaha(Appples) Tanzania, e.g Sifa za ardhi, Hali ya hewa, Uhitaji wa mwanga wa jua n.k

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *