Mazingira

- Kilimo, Udongo

Namna ya kuongeza rutuba ya udongo

Ongezeko la uhitaji wa chakula duniani kutoka katika eneo lile lile dogo linalotumika kwa uzalishaji, huku ardhi hiyo ikikabiliwa na madhila kama vile mmomonyoko wa ardhi mabadiliko ya tabia nchi na ongezeko la wadudu na magonjwa kumeathiri uzalishaji kwa kiwango kikubwa hivyo kupelekea uboreshaji wa udongo kuwa kipaumbele cha kuzingatia.   Viini vya rutuba ya udongo hutoka wapi Rutuba ya…

Soma Zaidi

- Kilimo, Masoko, Udongo

Mikakati Madhubuti ya Kuuza Mazao ya kilimo hai

Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika kilimo na mbinu za uzalishaji. Utafiti umeonyesha kuwa mbinu asilia za kilimo hai zina faida zaidi kuliko zile zinazojumuisha kemikali au vitu vingine hatari. Siku hizi, bidhaa za kilimo hai zinapatikana kwa urahisi katika maeneo mengi. Hii inamaanisha kuwa kuna ushindani kati ya wazalishaji wa kilimo hai. Ikiwa unataka kufanikiwa…

Soma Zaidi

- Kilimo, Udongo

Ifahamu ndizi kitarasa na faida zake

Ndizi ya Kitarasa ni moja ya ndizi inayotumika kama chakula cha kitamaduni kwa wachaga waishio katika mkoa wa Kilimanjaro. Aina hii ya ndizi hutumiwa kutengeneza unga wa uji, kutengeneza bia ya kitamaduni na kama mchanganyiko wa chakula cha kitamaduni katika sahani. Hata hivyo, wazalishaji wa kitarasa walipungua, kutokana na mabadiliko ya utamaduni, mtindo wa maisha, upatikanaji duni wa soko na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Udongo

Je, wajua sababu kumi za kuendeleza kilimo hai

Chakula kinakuwa na ladha ya asili: ladha yake ni nzuri Kimesheheni viinilishe vya asili vya kutosha kwa afya: kwa asili kinajenga afya. Hakina mabaki hatarishi ya kemikali: hakina kemikali Kinaepusha matumizi ya vyakula vilivyobadilishwa vinasaba /GMO: kinatunza afya ya mlaji Havisababishi magonjwa yanayosababishwa na upulizaji wa kemikali kwa mkulima wala mlaji: mkulima na mtumiaji/ mlaji hubakia salama Kinahimiza utunzaji wa…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

WALISEMA WAHENGA UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI, NASI TWASEMA, UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO SOMA JARIDA LA MkM

Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kilimo bila maarifa na maarifa haya sisi kama Mkulima Mbunifu tukiwezeshwa na Biovision na kusimamiwa na Biovision Africa Trust (BvAT) wakishirikiana na Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) tunasisitiza kuwa ili ufanikiwe katika uzalishaji wa mazao na mifugo, soma jarida la Mkulima Mbunifu, HAKIKA NI KISIMA CHA MAARIFA