Kilimo

- Kilimo

Unafahamu kuhusu zao la parachichi na faida zake

Parachichi ni moja ya zao la matunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, yaani tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana, parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevusha wenyewe. Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya. Faida za Parachichi upande wa Lishe…

Soma Zaidi

- Kilimo

Hifadhi mboga na matunda kwa matumizi na mauzo ya baadaye

Mara nyingi wakulima wa mbogamboga na matunda wanapata hasara kutokana na ukosefu wa soko la uhakika. Wakulima wengi wamezoea kuuza mbogamboga na matunda yakiwa ghafi kutoka shambani. Hii ni changamoto wakati mavuno ni mengi na wanunuzi ni wachache. Ili kuepuka hali hii, uhifadhi wa mbogamboga na matunda ni ya manufaa hasa wakati uhitaji ni mkubwa na pia kudumisha lishe bora.…

Soma Zaidi

- Kilimo

Faida na matumizi ya mpera (Majani na matunda yake)

Fahamu faida ya mpera, tunda na majani yake kiafya Matunda ya asili yana utajiri wa sukari, madini, vitamini na viini muhimu kwa ajili ya tiba ya magonjwa ya binadamu na mifugo. Matunda yanaweza kuwa chanzo muhimu sana cha chakula, lishe na madawa. Hivyo yanaweza kusaidia kupiga vita utapiamlo na upungufu wa vitamin A na C, amino asidi muhimu na madini…

Soma Zaidi

- Kilimo

Upotevu unaotokea katika mfumo wa shughuli za baada ya kuvuna

Upotevu wa chakula ni upungufu wa kiasi na ubora wa chakula. Hii inatokana na ukweli kwamba mazao yaliyovunwa yana uhai; hupumua na hupitia mabadiliko wakati wa shughuli za baada ya kuvuna. Kwa mazao makavu kama vile nafaka na kunde yasiyoharibika kwa urahisi, upotevu hujitokeza kama matokeo ya uharibifu usababishwao na viumbe waharibifu au vitu vingine, ambao huchukua sehemu ya chakula…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Kupitia jarida la MkM, maisha yamebadilika

Toka nilipoanza kupata na kusoma nakala za Mkulima Mbunifu mwaka 2011, nimepata mafanikio makubwa katika ufugaji na kilimo. Aidha, nimegundua kuwa, ukiamua na kufanya kwa vitendo kama Mkulima Mbunifu linavyosisitiza, umaskini kwa mkulima ni historia tu. Jarida la Mkulima Mbunifu lilianza kutekeleza majukumu yake ya kutoa elimu kwa wakulima na wafugaji (wakubwa na wadogo) kuanzia Julai mwaka 2011. Elimu hii…

Soma Zaidi

- Kilimo

Unafahamu nini kuhusu dawa za asili katika kudhibiti magonjwa na wadudu

Dawa za asili ni dawa zinazotokana na mimea au wanyama ambayo hupatikana katika maeneo ya wakulima. Matumizi ya dawa hizi ni njia mojawapo ya kuepuka dawa za viwandani ambazo huathiri udongo, mazingira na afya za watu na wanyama. Hadi sasa kuna dawa takribani 67. Madawa yasipotengenezwa vizuri na kutumiwa ipasavyo yanaweza yasifanye kazi ipasavyo, hivyo huwa ni vigumu kuwashawishi wakulima…

Soma Zaidi

- Kilimo

Tumia mbolea ya asili kukuzia mimea

Kuna faida nyingi zinazotokana na matumizi ya mbolea za asili kama mboji na nyinginezo. Mbolea asili hutokana na kuoza kwa vitu vyenye uhai kama vile majani, miti na mabaki ya vyakula. Vitu hivi vinapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama kwa mkulima kwa kuwa vitu vinavvyotumika ni vya asili. Mbolea ya kukuzia mimea inatokana na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Wadudu nyemelezi wa magonjwa huathiri uzalishaji

Moja ya mambo muhimu yanayochangia uzalishaji wa mifugo ni aina na kiasi cha magonjwa yaliyomo katika eneo la ufugaji. Ni muhimu kwa mfugaji kufahamu aina ya magonjwa yanayoathiri mifugo yake mara kwa mara, na namna ya kukabiliana nayo pamoja na udhibiti wa wadudu na vimelea sababishi. Pia ni vyema kutambua na kufahamu namna ya kutibu magonjwa nam Wadudu nyemelezi na…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo

TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU (MKM) INTERNAL EVALUATION CONSULTANT

The Mkulima Mbunifu (MkM) Magazine, a Farmer Communication Programme project, has been empowering smallholder farmers in Tanzania since July 2011 through production and distribution of farmer magazines. Supported by the Biovision Foundation and Biovision Africa Trust, MkM aims to enhance the economic, social, and environmental livelihoods of smallholder farmers through the adoption of ecologically sustainable agriculture (ESA) and improved agricultural…

Soma Zaidi