Kilimo Biashara

- Kilimo, Kilimo Biashara, Mtama, Usindikaji

Unaweza kuongezea thamani Mtama kwa kuzalisha mvinyo

“Kwa karne nyingi, mtama umekuwa ukichukuliwa kama chakula cha watu maskini au chakula cha njaa, hili sasa limegeuka na kutoa matumaini mapya kwa wakulima wa mtama nchini Tanzania” Mtama ni kundi la mbegu ndogo ndogo aina ya mazao ya nafaka, yanayolimwa sana duniani kote kwa ajili ya chakula na lishe. Hii ni aina ya mazao yanayolimwa katika mazingira magumu kama…

Soma Zaidi

Mazao ya kilimo biashara, yazingatie uzalishaji bora na wenye tija
- Kilimo Biashara

Kilimo biashara kina faida kikifanyika kwa njia ya vikundi vya wakulima

Kilimo kitabaki kuwa msingi wa ukuaji wa uchumi kupunguza umaskini na kudumisha mazingira iwapo kitafayika kwa utaratibu. Hata hivyo ni muhimu mkulima kuzingatia kilimo biashara ili kukuza kipato.  Kilimo biashara ni fursa muhimu ambayo mkulima anapaswa kufanya kwa kuzingatia utaratibu maalumu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini ya biashara ili kuhakikisha kufaulu kwake. Katika makala hii tutaangazia kuhusu kilimo biashara na…

Soma Zaidi

- Kilimo Biashara, Samaki, Usindikaji

Namna bora ya uchakataji na uhifadhi wa samaki ili kuzuia wasiharibike

Ufugaji samaki kwa sasa umeshika kasi kutokana na ulaji kuongezeka taktibani katika maeneo yote ya nchi. Ili kuhakikisha kuwa mfugaji anaweza kufanikiwa katika hatua zote za ufugaji mpaka hatua ya kupeleka bidhaa yenye ubora ni muhimu sana kuzingatia uhifadhi. Kwanini uhifadhi wa samaki Samaki kama viumbe vingine visipohifadhiwa vizuri na katika utaratibu maalumu wa kitaalamu, ni rahisi sana kuharibika na…

Soma Zaidi

- Masoko

Mazao ya kilimo hai na upatikanaji wa masoko

Kilimo hai ni aina ya kilimo ambacho hakitumii mbolea wala dawa za viwandani katika uzalishaji wake wa mazao. Mazao yanayozalishwa kwa kutumia kilimo hiki huwa na bei ya juu sana kutokana na kuwa ni salama kwa afya ya mtumiaji. Mazao hayo hayana madhara ya muda mfupi wala mrefu hivyo mtumiaji hana hofu kupatwa na magonjwa. Soko la mazao ya kilimo…

Soma Zaidi

- Kilimo Biashara, Mafuta, Usindikaji

Usindikaji wa karanga kupata mafuta

Karanga hutumika kama kiungo katika mapishi mbalimbali au kukaangwa ili kutumika kama vitafunwa lakini pia kusindikwa ili kupata mafuta, siagi na rojo. Karanga zina virutubisho vingi kama vile; maji asilimia 7, nguvu kilokari 570, protini gramu 23, mafuta gramu 45, wanga gramu 20, kalishamu miligramu 49, chuma miligramu 3.8, patasiamu miligramu 680, vitamini B miligramu 15.5 na vitamini A (I.U…

Soma Zaidi

- Kilimo Biashara, Usindikaji

Kutoka kuzalisha maziwa mpaka kiwanda cha kusindika

Biashara ya maziwa ni biashara maarafu sana katika maeneo ya kanda ya kaskazini mwa Tanzania ambapo kuna wafugaji wengi.  Biashara hii imeweza kuwanufaisha wafugaji wengi ikiwa ni miongoni mwa zao la mifugo linalo wasaidia wafugaji kujikwamua kiuchumi. Uzalishaji na uuzaji wa maziwa ni kitega uchumi kizuri ikiwa itafanywa kwa kuzingatia kanuni, taratibu na kuzalishwa katika hali ya usafi. Biashara hii…

Soma Zaidi