News
Lishe na vyanzo asili ya chakula
10/09/2025 - Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Maziwa, Samaki, Soya, Viazi vitamu
Baadhi ya mimea huboresha mboji
19/09/2025Ni kwa nini wakulima huchanganya aina nyingi za mimea wanapotengeneza mboji? Aina tofauti za mimea huwa na aina tofauti za...
JOB VACANCY: MkM Intern
01/09/2025Magonjwa yanayoathiri nguruwe
01/09/2025JOB VACANCY: INTERN FOR MKM PROJECT
18/02/2025Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...
TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU PROJECT INTERN
18/02/2025Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...
HERI YA MWAKA MPYA WA 2025!!!!!!
07/01/2025Za hivi karibuni
Baadhi ya mimea huboresha mboji
19/09/2025Ni kwa nini wakulima huchanganya aina nyingi za mimea wanapotengeneza mboji? Aina tofauti za mimea huwa na aina tofauti za virutubisho, na pia huchangia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kuoza kwa aina nyingine za mimea hivyo kutengeneza mbolea nzuri. Unapotengeneza mboji,...
Kwa nini miembe inadondosha maua?
19/09/2025Kudondoka kwa maua kwenye miembe yako inaweza kutokana na upungufu au ukosefu wa aina fulani ya madini. Virutubisho na madini kwenye miembe vinahitaji ufahamu na uelewa wa hali ya juu kwa kile kinachohitajika. Tofauti na hilo, unahitaji kuzingatia kiasi cha...
Je, Una swali lolote kuhusiana na ufugaji wa Samaki? Tuulize, Tukujibu
18/09/2025Ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa MkM kuthamini maoni yako na kujibu maswali yenu kwa kupitia wataalamu wa kada mbalimbali. Katika toleo hili Musa Said ambaye ni mtaalamu wa Samaki anaendelea kujibu maswali kuhusiana na ufugaji wa samaki. Shime, kama...
Lishe na vyanzo asili ya chakula
10/09/2025Lishe bora inajumuisha aina mbalimbali za vyakula kutoka makundi tofauti ya chakula, na hutoa virutubisho na ladha tofauti. Makundi haya ni muhimu kwa afya na ukuaji wa mwili: Nafaka na mizizi: Mahindi, viazi, ndizi — hutoa wanga kwa ajili ya...
JOB VACANCY: Consultant to update and redesign its website
01/09/2025MkM is seeking to update and redesign its website to enhance the functionality, user experience, and overall performance of the Mkulima Mbunifu website (www.mkulimambunifu.org). This involves updating the WordPress Content Management System (CMS), addressing plugin compatibility issues, optimizing social media...




