News

JOB VACANCY: INTERN FOR MKM PROJECT

18/02/2025

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...

TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU PROJECT INTERN

18/02/2025

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...

Za hivi karibuni

14/04/2025

Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa kwa wingi kama chakula, hususani katika mataifa ya Afrika, lakini pia limekuwa likitumika katika nchi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara. Mahindi ni chakula cha matumizi ya nyumbani...

Matumizi ya mabaki ya mimea na wanyama katika kurutubisha udongo na kupelekea uzalishaji bora wa mazao

14/04/2025

Je, unafahamu kuwa unatakiwa kujua sifa za udongo ulio katika shamba lako na changamoto zake? Je, udongo una upungufu wa naitrojeni? Je, una upungufu wa fosiforasi? Je, kuna uwepo wa mabaki ya miti au wanyama ya kutosha? Ikiwezekana, udongo huo...

Rutuba ya udongo ndiyo msingi wa kilimo hai

11/04/2025

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa mstari wa mbele katika kuzungumzia na kuhimiza uzalishaji kwa misingi ya kilimo hai, ikiwa ni moja ya nguzo za kilimo endelevu. Katika makala zote zilizochapishwa katika jarida hili pamoja na machapisho mengine yanayotolewa na Mkulima...

Mnyororo wa ongezeko la thamani utapunguza manung’uniko kwa wakulima na wafugaji

10/04/2025

Sera ya soko huria iliyoanza kutekelezwa toka miaka ya 1990 imefungua fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwa wingi kwenye maeneo mbali mbali ya kibiashara. Kwa muda mrefu, Kilimo kimewavuta wawekezaji ambao wamekuwa wakijishughulisha na mashamba makubwa ili kukidhi madhumuni ya biashara...

Jikinge na vurusi vya Monkey Pox (Mpox)

10/04/2025

Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia mifumo yake ya ukusanyaji wa taarifa na ufuatiliaji wa magonjwa ilipokea taarifa za uwepo wa wahisiwa wenye dalili za vipele usoni, mikononi, miguuni na sehemu nyingine za mwili. Dalili hizi ziliambatana...