1. Mifumo Mseto Wakulima wanalima mazao makuu pamoja na kufuga ng’ombe, wakitumia mabaki ya mazao kulisha ng’ombe na samadi kurutubisha mashamba. 2. Kilimo cha mzunguko na malisho ya muda Mzunguko wa mazao na malisho ya muda mfupi ambayo huliwa na mifugo. Awamu ya malisho inaboresha rutuba ya udongo kwa mazao yanayofuata, na mifugo hunufaika na malisho. 3. Malisho kwenye bustani…
Mboga
Maharagwe ni chanzo bora cha virutubisho
Maharage sehemu ya familia ya kunde. Mmea wa mikunde hutoa mbegu kwenye ganda; maharagwe ni mbegu zilizokomaa ndani ya maganda haya. Maharagwe ni chanzo cha virutubishi vingi; zina aina mbalimbali za vitamini, madini na virutubisho vingine huku zikitoa kiwango cha wastani cha nguvu (carbohydrates). Maharage ni chanzo cha protini ambayo husaidia kujenga mwili, nyuzinyuzi ambayo husaidia umeng’enyaji wa chakula, madini…
Umuhimu wa mboga kiafya
Mboga ni mojawapo ya chakula bora kwani zikiliwa zenyewe kwa kuchanganya zina viini lishe tosha. Hata hivyo, mboga zimegawanyika katika makundi kutokana na sehemu ya mmea iliyo muhimu katika chakula cha binadamu na viini lishe vipatikanavyo. Sehemu za mmea wa mboga zinazotumika kama chakula ni pamoja na mizizi, shina, majani, matunda, maua na mbegu. Kazi muhimu za mboga kwenye chakula…
Faida za chaya kiafya
Amedeus Willium anauliza: Naomba kuuliza faida za chaya kwenye mwili wa binadamu Mkulima Mbunifu: Majani ya chaya ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma, protini, kalshiamu, Vitamini A, C, foliki, asidi na Vitamini B. Protini: Inajenga misuli. Mlo mmoja tu wa chaya ni sawa na kiwango cha protini kinachopatikana kwenye yai. Madini ya chuma: Kwa afya ya damu na nguvu…
Kilimo cha mbogamboga chatia chachu kwa maendeleo ya elimu
Wakati Tanzania ikikabiliwa na changamoto katika kuhakikisha lishe bora kwa watoto hasa katika maeneo ya vijijini na mijini, kuanzishwa kwa kilimo cha mbogambogambogamboga katika shule za msingi kunaweza kuwa ni kichocheo cha mabadiliko ya namna bora ya kujenga na kuelimisha akili changa za vijana na kuwafanya wakue katika mazingira bora ya kufikiri na kudadisi mambo mbali mbali. Haya yanaweza kushuhudia…
Lishe ya mbogamboga ni muhimu kwa afya
Mbogamboga ni mojawapo ya chakula bora kwani zikiliwa zenyewe kwa kuchanganya zina viini lishe tosha. Hata hivyo, Mbogamboga zimegawanyika katika makundi kutokana na sehemu ya mmea iliyo muhimu katika chakula cha binadamu na viini lishe vipatikanavyo. Sehemu za mmea wa mbogamboga zinazotumika kama chakula ni pamoja na mizizi, shina, majani, matunda, maua na mbegu. Kazi muhimu za Mbogamboga kwenye chakula…
Hifadhi mboga na matunda kwa matumizi na mauzo ya baadaye
Mara nyingi wakulima wa mbogamboga na matunda wanapata hasara kutokana na ukosefu wa soko la uhakika. Wakulima wengi wamezoea kuuza mbogamboga na matunda yakiwa ghafi kutoka shambani. Hii ni changamoto wakati mavuno ni mengi na wanunuzi ni wachache. Ili kuepuka hali hii, uhifadhi wa mbogamboga na matunda ni ya manufaa hasa wakati uhitaji ni mkubwa na pia kudumisha lishe bora.…





