mahindi

- Kilimo

Bei za mazao makuu ya chakula

Kama ilivyo ada tunawaletea habari za taarifa za mazao makuu ya chakula katika mikoa mbalimbali hapa nchini kama ilivyotayarishwa na wizara ya kilimo. Tafadhali bonyeza hapa kusoma zaidi https://www.viwanda.go.tz/uploads/documents/sw-1731069832-Wholesale%20price%206th%20November,%202024..pdf

- Kilimo

BEI YA MAZAO MAKUU YA CHAKULA KATIKA MASOKO MBALIMBALI HAPA NCHINI

Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara, tafadhali pokea taarifa au mwenendo wa bei za mazao makuu ya chakula katika masoko mbalimbali hapa nchini kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara. Hii itakusaidia kuuza au kununua mazao kulingana na bei iliyoko sokoni. Bonyeza hapa chini https://www.viwanda.go.tz/uploads/documents/sw-1724870465-Wholesale%20price%2026th%20August,%202024.pdf

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara

Hifadhi nafaka kwa njia sahihi kuepuka upotevu

Ni wazi kuwa wakulima wengine wamevuna nafaka mbalimbali kama vile maharage na mahindi katika msimu huu wa mavuno hivyo wasipokuwa makini na kuhifadhi kwa usahihi mavuno yote yatapotea kwa kuharibiwa na wadudu, panya, au hata ukungu unaotokana na unyevu. Ili kuepukana na hasara ni muhimu kuhakikisha unahifadhi mazao yako katika njia salama kama unavyoshauriwa na Mkulima Mbunifu au wataalamu wa…

Soma Zaidi

- Kilimo

Msimu wa mavuno; Hakikisha umefuata kanuni sahihi za kuvuna na kuhifadhi nafaka

Nafaka mbalimbali ambayo ni mazao makuu ya chakula na kibiashara hapa nchini kama vile mahindi, maharage, mikunde mara nyingi wakulima hupoteza hasa wakati wa mavuno kutokana na uvunaji usiokidhi viwango pamoja na uhifadhi duni. Ukiwa huu ni msimu wa mavuno katika maeneo mbalimbali nchini, Mkulima Mbunifu inatoa rai kwa wakulima kuhakikisha kuwa wanazingatia kanuni sahihi za mavuno ili waweze kupata mavuno bora…

Soma Zaidi

- Kilimo

Mahindi zao kuu la chakula linalopendwa na kutumiwa sana

Huu ni mwendelezo wa makala inayokuhusu kilimo cha mahindi kutoka toleo lililopita Inapendekezwa kuweka mbolea baada ya udongo kupimwa. Mbegu ya mahindi iliyoboreshwa inaweza kufanya vizuri inapowekewa mbolea halisi inayohitajika, kulingana na uhitaji wa virutubisho.  Mbolea ya mboji inaweza kuwekwa kwenye shimo wakati wa kupanda. Palizi Hakikisha kuwa, shamba lako halina magugu ambayo hushindana na mazao kupata maji na virutubisho.…

Soma Zaidi