Siku za hivi karibuni, mradi wa Mkulima Mbunifu uliratibu na kuendesha mafunzo ya kilimo hai kwa waandishi wa habari nchini Tanzania. Mafunzo hayo ya siku tatu yalifanyika katika shamba la kilimo hai SJS- St Joseph Sustainable Organic Farm lililopo katika kijiji cha Kwanyange Wilaya ya Mwanga. Mafunzo haya yalifadhiliwa na shirika la Biovision (Bv) Foundation lililopo Switzerland. Katika mafunzo hayo…
Bata maji
Mfugaji anaweza kuongeza pato kwa kufuga bata
Wafugaji wengi wa ndege wamekuwa wakikazana zaidi namna ya kufuga aina mbalimbali za ndege bila kujumisha bata. Aina hii ya ndege wanaweza pia kuwa chanzo kizuri cha kuongeza pato. Wafugaji wengi wadogo wa bata nchini Tanzania hufuga bata chotara ambao wamechanganyika na aina mbalimbali za jamii ya bata. Aina nyingine inaweza kuwa bata bukini, bata maji, au bata mzinga. Matumizi…