News

JOB VACANCY: INTERN FOR MKM PROJECT

18/02/2025

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...

TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU PROJECT INTERN

18/02/2025

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to...

Za hivi karibuni

Namna ya kuzuia vimelea kwa mifugo

05/06/2025

Minyoo ya ndani ya mwili na hasa ile inayoishi kwenye maini pamoja na ile ya mviringo huathiri sana afya za wanyama wa dogo kama ndama na kwa ujumla husababisha udhaifu wa mwili, ukosefu wa nguvu, ukuaji duni na hatimaye vifo...

Unaweza kutengeneza mbolea ya mboji kwa njia rahisi

04/06/2025

Zipo aina nyingi za takataka zin-azoweza kutumika kwa ajili ya kuzalisha mbolea ya mboji kama vile mabaki ya malisho, unga wa maranda unaotokana na shughuli za useremala, majivu na masalia ya ziada baada ya kuvuna mazao shambani. Kwa kutengeneza mboji,...

Unaweza kukausha karoti na kusaga kwa matumizi ya baadaye

02/06/2025

Imezoeleka kuwa karoti ni moja ya kiungo maarufu cha chakula, ambacho mara nyingi kinatumika kikiwa kibichi, na mara nyingi hakihifadhiwi kwa muda mrefu. Tofauti na dhana hii, karoti inaweza kusagwa na kuwa unga, ambao unaweza pia kutumika kama chakula. Utayarishaji...

Fahamu madhara ya kiafya unayoweza kupata kutokana na viuatilifu

30/05/2025

Wakulima wengi wamejisababishia madhara ya kiafya kutokana na matumizi ya viuatilifu. Hii ni kutokana na kutokua na maarifa sahihi na kutokutumia hatua zinazostahili za kinga au kutekeleza mbinu sahihi za udhibiti. Viuatilifu vya kiwandani na zana zake kwa kawaida huhifadhiwa majumbani...

Unaweza kutumia chokaa na majivu kuangamiza viwavijeshi vamizi

30/05/2025

Wakulima walio wengi katika mikoa mbalimbali hapa nchini wamekuwa wakisumbuliwa sana na kiwavijeshi vamizi, mdudu ambaye husababisha hasara kubwa kwa wakulima hasa wa mahindi kwani hupoteza maelfu ya hekari za mazao endapo watavamiwa na mdudu huyu. Kuna mbinu mbalimbali za...