Kikundi cha usindikaji cha mbogamboga na matunda kutoka SAT (Sustainable Agriculture Tanzania)
Mbogamboga jamii ya majani
- Majani ya maboga na mchicha
- Chagua majaNi mabichi na laini
- Chambua mboga na kuondoa nyuzinyuzi
- Osha majani yako kwa maji safi
- Tumbukiza mboga kwenye maji ya vuguvugu kwa dakiki 3-5 ,kisha weka mboga kwenye maji ya baridi Kwa dakika 1 ipoe ili kuzia kuendele kuiva zaidi
- Toa na iache mboga ichuje maji
- Wekakatika matrey tayari kwa kukausha
- Kausha mboga ikauke vizuri kwa mda wa siku 3(pia itategemea hali ya hewa husika)
Ukaushaji wa mchicha
Hatua ya kwanza
Hatua ya pili
Hatua ya tatu
Hatua ya nne
Maoni kupitia Facebook