Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya chakula duniani, ni muhimu kwa kila jamii kuangalia namna ya kuondokana na baa la njaa linaloikabili ulimwengu kwasasa.
Kauli mbiu ya mwaka huu ambayo ni; Hakuna wa kuachwa nyuma: uzalishaji bora, lishe bora, mazingira bora, maisha bora inahamasisha jamii kuhakikisha inafanya uzalishaji wenye kupelekea kuwepo kwa lishe bora, mazingira na maishaya mwanadamu kwa ujumla. Shime ewe mkulima na mfugaji amka tuzalishe kwa misingi ya kilimo hai ili kutimiza lengo letu.
Maoni kupitia Facebook