- Kilimo

BEI YA MAZAO MAKUU YA CHAKULA KATIKA MASOKO MBALIMBALI HAPA NCHINI

Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara, tafadhali pokea taarifa au mwenendo wa bei za mazao makuu ya chakula katika masoko mbalimbali hapa nchini kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara. Hii itakusaidia kuuza au kununua mazao kulingana na bei iliyoko sokoni. Bonyeza hapa chini https://www.viwanda.go.tz/uploads/documents/sw-1724870465-Wholesale%20price%2026th%20August,%202024.pdf

- Mifugo

Kupe wanahatarisha afya ya mifugo

Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati. Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali za kupe, kupe wa rangi ya kahawai ni wabaya zaidi. Hii ni kwa sababu kupe wanabeba vimelea vinavyosababisha homa ya ndigana (East Coast Fever). Kupe wanaonekana kuwa wababe wa maisha kutokana…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo

Tutunze mazingira na tusichome misitu hovyo

Katika maeneo mengi nchini Tanzania, uharibifu wa mazingira hasa unaotokana na ukataji miti ovyo kwa ajili ya kuchoma mkaa, ujenzi na shughuli za kilimo umekithiri kwa kiasi kikubwa. Jamii nyingi zimekuwa zikifanya hivyo bila kufahamu kuwa umaskini walio nao unachangiwa kwa kiasi kikubwa na uharibifu wa misitu. Imekuwa ni kawaida kwa watu wengi wanaoishi kuzunguka misitu katika maeneo mbalimbali hapa…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara

Hifadhi nafaka kwa njia sahihi kuepuka upotevu

Ni wazi kuwa wakulima wengine wamevuna nafaka mbalimbali kama vile maharage na mahindi katika msimu huu wa mavuno hivyo wasipokuwa makini na kuhifadhi kwa usahihi mavuno yote yatapotea kwa kuharibiwa na wadudu, panya, au hata ukungu unaotokana na unyevu. Ili kuepukana na hasara ni muhimu kuhakikisha unahifadhi mazao yako katika njia salama kama unavyoshauriwa na Mkulima Mbunifu au wataalamu wa…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

JOB VACANCY: INTERN FOR MKULIMA MBUNIFU PROJECT

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to support MkM work in support monitoring activities of the project, data management and feedback from users of knowledge products disseminated. Mkulima Mbunifu (MkM) is a farmer information service organization based in Arusha, Tanzania, and implemented since July 2011 with support from Biovision Foundation, Switzerland and Biovision Africa Trust (BvAT), Nairobi,…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Vidokezo muhimu kwa wakulima na wafugaji

Ng’ombe wangu anapata choo kigumu sana na mara nyingine, kinaambatana na ute kama makamasi na damu, huu ni ugonjwa gani, na nasikia kuna dawa za kienyeji zinazotibu! Ni dawa gani, na inaandaliwaje? Msomaji MkM Kuna uwezekano mkubwa kuwa ng’ombe wako anasumbuliwa na ugonjwa unaojulikana kama ndigana baridi au kitaalamu Anaplasmosis. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bakte- ria ambapo mnyama hujisaidia…

Soma Zaidi

- Mifugo

Anzisha miradi tofauti kuongeza pato

Kuna msemo mmoja maarufu sana wa Kiswahili usemao, kidole kimoja hakivunji chawa. Hii inamaanisha kuwa endapo unategemea jambo moja tu, inakuwa ni vigumu sana kutimiza malengo yako au kufanikiwa kufanya jambo fulani. Hii ni changamoto kwako mkulima kuhakikisha kuwa unatumia nafasi uliyo nayo ipasavyo. Ni muhimu sana kuhakikisha kuwa unaanzisha miradi ya aina mbalimbali kulingana na uwezo wako. Hiyo itakuwezesha…

Soma Zaidi

- Kilimo

Mbegu za asili ni pembejeo ya muhimu katika uzalishaji wa mazao

Upatikanaji wa mazao bora hutegemea matumizi ya aina na ubora wa mbegu za mazao husika. Baadhi ya wakulima nchini Tanzania wamesahau matumizi ya mbegu za asili na kujikita zaidi katika mbegu za kisasa. Mbegu ni nini? Mbegu ni sehemu ya mmea ambayo mmea mpya unaweza kuota. Kuna makundi makuu mawili ya mbegu ambayo ni; Punje: Kama vile nafaka au mbegu…

Soma Zaidi