Tija katika ufugaji wa kuku wa asili ni ndogo kwa sababu ya matatizo mengi wanayokumbana nayo. Katika mazingira ya kujitafutia chakula kuku hawa hukumbana na vimelea mbalimbali vya magonjwa. Kwa ujumla kuku hawawezi kuongezeka kwa idadi kubwa mahali pasipo na vyakula vya kuwatosheleza hata kama magonjwa hatari yatadhibitiwa kwakuwa mwishowe watakufa kwa kukosa chakula. Magonjwa yanayoathiri kuku wa kienyeji…
Tumbaku kwenye mbogamboga
Tumbaku ni dawa ya asili inayoweza kutumika katika kilimo cha mbogamboga Tumia ugoro au chemsha miche 20 ya tumbaku. Dawa hii inazuia wadudu wanaoshambulia mahindi shambani, wadudu wanaokata miche, kupe, vidukari, viwavi na wengine. Chukua gramu 500 za tumbaku, changanya maji lita nane na uchemshe. Chuja baada ya kupoa, ongeza maji lita nane tena na gramu 60 za sabuni ili…
Kitunguu saumu kama dawa ya asili
Kitunguu saumu pia kinaweza kuwa mbadala wa kudhibiti viwavi, nzi wa matunda, utitiri mwekundu, utitiri mweupe, wadudu wenye magamba laini, kombamwiko wa madoa, magonjwa ya fangasi na minyoo fundo. Menya kilo mbili za kitunguu saumu na uzitwange vizuri (tumia blenda ni vizuri zaidi). Ongeza mililita 500 za maji ili kusaidia kukamua juisi/ mchanganyiko. Tumia chujio kupata mchanganyiko wa kitunguu saumu.…
Dawa za asili kwa uzalishaji wa mbogamboga
Uzalishaji wa mboga mara nyingi unahusisha matumizi ya viuatilifu vyenye kemikali. Baadhi ya wakulima hawawezi kumudu gharama kubwa za viuatilifu hivi, ambavyo visipotumika vizuri huweza kuleta madhara, kama kuharibu mazingira, mimea na kuathiri watumiaji wa mboga. Njia asilia za kudhibiti visumbufu hutumia dawa zinazotokana na mimea ambayo hupatikana katika maeneo ya wakulima. Matumizi ya dawa hizi ni njia mojawapo ya…
Kudhibiti afya ya udongo ni mojawapo ya njia rahisi na mwafaka zaidi kwa wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao na faida huku wakiboresha mazingira.
Udongo wenye afya ndio msingi wa kilimo chenye tija na endelevu. Kusimamia afya ya udongo kunaruhusu wazalishaji kufanya kazi na ardhi – sio dhidi ya – kupunguza mmomonyoko wa ardhi, kuongeza upenyezaji wa maji, kuboresha baiskeli ya virutubishi, kuokoa pesa kwenye pembejeo, na hatimaye kuboresha ustahimilivu wa ardhi yao ya kufanya kazi. Iwe unalima mahindi, unafuga ng’ombe wa nyama, au…
Vidokezo vya kuanzisha biashara ya ufugaji wa wanyama
Ufugaji ni utunzaji na uzalishaji wa mifugo kwa madhumuni ya kilimo, ikiwa ni pamoja na chakula na bidhaa zingine kutokana na mifugo. Ikifanywa ipasavyo, ni shughuli yenye uwezo mkubwa ya kumkwamua mkulima na kumpa mapato ya kutosheleza mahitaji ya kila siku. Wengi wa wakulima wadogo huunganisha ufugaji na kuzalisha mazao, ingawa baadhi ya wakulima huzingatia ufugaji pekee, ili kuwawezesha kupata…
Kilimo hai kwa vitendo
Mtazamo Virutubisho hai Mbolea zisizo za asili hazitumiki katika kilimo hai. Virutubisho vya asili vinavyotokana na mimea hutumika kurutubisha udongo. Kuongeza rutuba kwenye udongo huchukuliwa kama nguzo muhimu. Mbolea za asili hutumika kuboresha au kushikilia rutuba ya udongo, kwa kuongeza mbolea inayotokana na mifugo, mbolea vunde, na kuacha mabaki ya mazao shambani yatumike kama matandazo. Mbolea za asili huwa na…
Fahamu kuhusu kilimo hai na namna ya kuanza
Kwa kawaida viumbe hai vyote ni vya asili. Fikra na mitazamo juu ya kilimo hai inaonekana kama vile viumbe hai wana sehemu yao maalumu tangu miaka mingi iliyopita. Hii inajumuisha viumbe wadogo wadogo waliopo ardhini, kwenye mimea, wanyama pamoja na binadamu mwenyewe. Mfumo wa kilimo hai umetelekezwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko katika sekta ya viwanda, ongezeko la watu na…
Katika kilimo cha sasa, mkulima ni mzalishaji na muuzaji
Wakulima wanalalamika kwamba hawawezi kupata soko ya mazao yao. Katika dunia ya sasa, teknolojia ya habari na masawasiliano, uboreshaji wa miundo msingi ya usafiri na uchukuzi, ikiwemo barabara, soko imeanza kubadilika kuliko awali. Soko imeanza kuwa wazi na yenye ushindani mkubwa, na hii inatoa fursa kwa wakulima wadogo, hasa wale wa kilimo hai ambao wana uwezo wa kutumia mtandao, yaani…
Unafahamu kuhusu zao la parachichi na faida zake
Parachichi ni moja ya zao la matunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, yaani tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana, parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevusha wenyewe. Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya. Faida za Parachichi upande wa Lishe…