News

Fuga mbuzi uongeze kipato mbadala

24/04/2024

Mbuzi ni mnyama mdogo lakini mwenye faida kadha wa kadha na huweza kutunzwa eneo na kwa gharama ndogo. Kwa jamii...

Unaanzaje kilimo hai

25/01/2024

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini,...

WEBSITE DESIGNER

01/12/2023

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website - www.mkulimambunifu.org About...

Za hivi karibuni

Tumia molasi kurejesha rutuba ya udongo

24/04/2024

Katika kilimo, matumizi ya Molasi ni muhimu kwa kuboresha hali ya udongo, kudhibiti wadudu, kuwezesha udongo kuwa na rutuba, kurekebisha hali ya udongo na pia kupunguza matatizo kwa mimea inayopandikizwa. Matumizi na kiasi cha kutumia Kuboresha umbile la udongo. Molasi...

Fuga mbuzi uongeze kipato mbadala

24/04/2024

Mbuzi ni mnyama mdogo lakini mwenye faida kadha wa kadha na huweza kutunzwa eneo na kwa gharama ndogo. Kwa jamii nyingi za kiafrika, mbuzi kama kuku, ni moja ya mnyama anayefugwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Katika jamii nyinginezo, hufuga...

23/04/2024

<iframe src="https://ee.kobotoolbox.org/i/ySYSCHB4" width="800" height="600"></iframe>

Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo

18/04/2024

Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa kununua nyasi hasa wakati wa kiangazi. Kuwa na malisho ya kutosha inampa mkulima amani na hakikisho kwamba mifugo wake wanapata...

Mazao ya Chakula yasiyopewa kipaumbele yenye Afya.

18/04/2024

Mazao yasiyopewa kipaumbele yenye afya, au "Neglected and Underutilized Crops (NUS)," ni mazao ambayo mara nyingi hupuuzwa au kutotumika ipasavyo licha ya faida zao za lishe na afya. Hizi ni aina za mazao ambayo hayajapata umaarufu au uwekezaji wa kutosha...