Afya ya mbuzi hutokana na lishe bora inayopatikana kwa kulisha majani mabichi, majani makavu, vyakula vya ziada vya kutia nguvu, protini, madini, vitamini na maji safi nay a kutosha ya kunywa. Usafi wa banda unaojumuisha hori la kulia, vyombo vya kulishia pamoja na ndoo au vyombo vya kunywea maji pia ni sehemu ya kutunza afya ya mbuzi. Mbuzi anapoachiwa kufanya…