- Mifugo

Unafanya nini msimu huu wa mvua

Sambaza chapisho hili

Unakumbuka vile ng’ombe walivyokufa msimu wa ukame/kiangazi.

Ulijiuliza ni kutokana na nini na je, msimu huu wa mvua unakusaidia vipi kujikinga na athari za kiangazi kwa msimu ujao.

Hakikisha unafanya uzalishaji wa malisho kwa wingi msimu huu wa mvua kwa ajili ya kujikinga na athari za ukame.

Je, umefikiia kuhusu malisho ya mifugo au umefikiria kuhusu kupunguza idadi ya mifugo.

Soma jarida lijalo la Mkulima Mbunifu, March Toleo la 113.

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *