- Mifugo

Baadhi ya mimea huboresha mboji

Sambaza chapisho hili

Ni kwa nini wakulima huchanganya aina nyingi za mimea wanapotengeneza mboji?

Aina tofauti za mimea huwa na aina tofauti za virutubisho, na pia huchangia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kuoza kwa aina nyingine za mimea hivyo kutengeneza mbolea nzuri.

Unapotengeneza mboji, moja ya malengo ni kupata mboji yenye ubora wa hali ya juu, inayoweza kupatia mimea virutubisho mchanganyiko. Aina mbili za mimea ni muhimu:

  • Miti, malighafi ngumu zitasaidia kupitisha hewa kwenye rundo. Bila hewa ya oxijeni, utaratibu wa mchanganyiko wa kutengenezea mboji hautafanyika ipasavyo.
  • Majani mabichi yenye kijani cha kutosha, yatatoa nitrojeni. Bila nitrojeni, malighafi hazitaoza. Mimea mizuri kwa kutoa nitrojeni ni ile milaini na michanga, na iwe na kijani, inayotokana na jamii ya mikunde na miti ya malisho.
Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

2 thoughts on “Baadhi ya mimea huboresha mboji

Leave a Reply to Boniface Mwakalibule Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *