
Unafahamu kuwa chakula kinatokana na mbegu bora? Bila mbegu hakuna chakula

Chakula hakitokani na mbegu tu, Bali mbegu bora na salama, yaani Mbegu bora za asili

Kama mkulima, Je, unatumia mbegu bora za asili katika uzalishaji wa mazao mbalimbali shambani mwako? Je, unahifadhi mbegu kwa ajili ya msimu ujao? Mbegu yangu, Chakula changu
Maoni kupitia Facebook




