Aina | Sifa | Uwezo wa uzaaji
Kilo/Ekari |
Kiasi cha mbegu
Kilo/Ekari |
|
1. | Kabanima | Nyekundu yenye mistari, inavumilia magonjwa ya kutu nan dui. Hukomaa baada ya siku 87 | 600-1000 | Wastani
26-28Kg |
2. | Uyole 84 | Rangi ya maziwa, yanatambaa na hukomaa baada ya siku 105 | 600-1000 | Wastani
26-28Kg |
3. | Uyole 94 | Rangi ya maziwa na mistari nyekundu, Hukomaa baada ya siku 84 | 480-800 | Wastani
26-28Kg |
4. | Uyole 96 | Rangi nyekundu makubwa, inavumilia magonjwa yak utu na madoa pembe. Hukomaa baada ya siku 84 | 480-1000 | Kubwa
36-40Kg |
5. | Uyole 98 | Rangi ya machungwa, inauvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, baka halo na kutu. Hukomaa baada ya siku 87 | 600-1200 | Wastani
26-28Kg |
6 | Wanja | Rangi ya khaki, inakomaa baada ya siku 78 na inaweza kukomaa mapema zaidi sehemu yenye mvua kidogo | 400-100 | Kubwa
36-40Kg |
7. | Uyole 03 | Rangi ya maziwa na mistari, ukomaa baada ya siku 97, ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe na baka halo | 600-1200 | Wastani
26-28Kg |
8. | Uyole 04 | Rangi ya maziwa, ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, baka halo. | 600-1200 | Wastani
26-28Kg |
9. | Njano- Uyole | Uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe baka halo na kutu. Haina uwezo wa kuvumilia ugonjwa wa kuoza mizizi. Inakomaa baada ya siku 88 | 600-1200 | Wastani
26-28Kg |
10. | Calima- Uyole | Nyekundu yenye mistari. Inavumilia ugonjwa wan dui, madoa pembe na kutu. Inakomaa baada ya siku 85 | 600-12000 | Wastani
26-28Kg |
11. | Pasi | Rangi ya kahawia. Inavumilia magonjwa ya madoa pembe nan dui. Inakomaa baada ya 85. | 600-1200 | Wastani
26-28Kg |
12. | Rosenda | Rangi nyekundu na mistari. Inavumilia magonjwa yak utu, madoa pembe. Inakomaa baada ya siku 88. | 600-1200 | Kubwa
36-40Kg |
13. | Fibea | Rangi ya njano ya kupauka/khaki. Inavumilia magonjwa ya madoa pembe nan dui. Inakomaa baada ya siku 84. | 600-2000 | Kubwa
36-40Kg |
14. | Uyole 16 | Rangi ya njano, Uvumilivu wa magonjwa yak utu, madoa pembe, ndui nab aka halo. Inakomaa baada ya siku 84. | 480-1200 | Wastani
26-28Kg |
15. | Uyole nyeupe | Rangi nyeupe. Ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, kutu na baka halo. | 600-1200 | Kubwa
36-40Kg |
Maoni kupitia Facebook