Mara nyingine ng’ombe anapozaa, huweza kupatwa na matatizo machache kama vile kizazi kutoka nje, kondo la nyuma kushindwa kutoka na hata wakati mwingine kupooza miguu na kushindwa kusimama. Kushindwa kutoka kwa kondo la nyuma Kwa kawaida mara baada ya kuzaa, kondo la nyuma pamoja na majimaji yaliyobakia kwenye tumbo la uzazi hutolewa nje kutokana na msukumo wa misuli ya tumbo.…
Ng’ombe
Je, Unaelewa vema juu ya afya ya Mifugo? Tujikumbushe
Tujikumbushe Kawaida, ufugaji una madhumuni ya uzalishaji wa bidhaa tofauti. Inajumuhisha hali yao ya kimwili, kiakili na kihisia. Kwa wakulima wadogo, kuhakikisha afya ya mifugo kama vile ng’ombe, nguruwe, kuku na mbuzi ni muhimu sio tu kwa uendelevu wa kiuchumi lakini pia kwa usalama wa chakula na maisha ya familia nyingi. Afya ya mifugo hujumuisha hali kamili ya wanyama wa…
Namna ya kuzuia vimelea kwa mifugo
Minyoo ya ndani ya mwili na hasa ile inayoishi kwenye maini pamoja na ile ya mviringo huathiri sana afya za wanyama wa dogo kama ndama na kwa ujumla husababisha udhaifu wa mwili, ukosefu wa nguvu, ukuaji duni na hatimaye vifo vya maelfu ya mifugo ya wafugaji wadodgowadogo kila mwaka. Hali hii ni ya kusikitisha kwasababu mifugo hiyo ingeweza kuokolewa kwa…
Unawezaje kutambua mnyama mwenye afya nzuri na mwenye matatizo ya kiafya?
Afya ya mifugo ni tatizo kubwa linalowakabili wafugaji walio wengi katika sehemu mbalimbali za nchi. Wapo wataalamu mbalimbali katika maeneo na mikoa yote ya nchi wanaotoa huduma ya mifugo lakini, bado kuna changamoto nyingi zinazowakumba wafugaji. Katika sehemu ambazo mawasiliano ikijumuisha pia miundo mbinu kuwa duni, wafugaji wamekuwa wakipoteza mifugo hasa kutokana na sababu kuwa mara ugonjwa unapoikumba inakuwa si…



