Hii ni aina ya mbolea ya asili isiyokuwa na madhara yoyote kwa binadamu na wanyama. Mbolea hii hutengenezwa kwa kuvundika mimea ya baharini au maotea ya majini. Aina hii ya mbolea inafaa kutumika kwa kuchanganya na viua wadudu vyovyote ambavyo ni asidi au basic kwani utendaji kazi wake hauwezi kupote endapo itachanganywa.
Viambata vya mbolea
Mbolea hii ina vichocheo vya mimea ambavyo ni vya asili kama Auxins,
Maoni kupitia Facebook
Utayarishaji wake unakuaje?