SAT inatafuta Usafiri na dereva kwa ajili ya kuwasafirisha wafanyakazi wake wa mradi wa Mkulima Mbunifu wakati wakienda sehemu mbalimbali hasa maeneo ya vijijini kwa wakulima wanufaika wa mradi mara kwa mara na popote wafanyakazi watakapo Kwenda kwa shughuli za kiofisi.
TAFADHALI FUNGUA HAPA CHINI KWA MAELEZO ZAIDI
https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/elementor/Tenda-ya-usafiri-2026.pdf
Maoni kupitia Facebook


