- Kilimo

Aina mbalimbali za maharage yanayolimwa Tanzania

Sambaza chapisho hili
Aina Sifa Uwezo wa uzaaji

Kilo/Ekari

Kiasi cha mbegu

Kilo/Ekari

1. Kabanima Nyekundu yenye mistari, inavumilia magonjwa ya kutu nan dui. Hukomaa baada ya siku 87 600-1000 Wastani

26-28Kg

2. Uyole 84 Rangi ya maziwa, yanatambaa na hukomaa baada ya siku 105 600-1000 Wastani

26-28Kg

3. Uyole 94 Rangi ya maziwa na mistari nyekundu, Hukomaa baada ya siku 84 480-800 Wastani

26-28Kg

4. Uyole 96 Rangi nyekundu makubwa, inavumilia magonjwa yak utu na madoa pembe. Hukomaa baada ya siku 84 480-1000 Kubwa

36-40Kg

5. Uyole 98 Rangi ya machungwa, inauvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, baka halo na kutu. Hukomaa baada ya siku 87 600-1200 Wastani

26-28Kg

6 Wanja Rangi ya khaki, inakomaa baada ya siku 78 na inaweza kukomaa mapema zaidi sehemu yenye mvua kidogo 400-100 Kubwa

36-40Kg

7. Uyole 03 Rangi ya maziwa na mistari, ukomaa baada ya siku 97, ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe na baka halo 600-1200 Wastani

26-28Kg

8. Uyole 04 Rangi ya maziwa, ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, baka halo. 600-1200 Wastani

26-28Kg

9. Njano- Uyole Uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe baka halo na kutu. Haina uwezo wa kuvumilia ugonjwa wa kuoza mizizi. Inakomaa baada ya siku 88 600-1200 Wastani

26-28Kg

10. Calima- Uyole Nyekundu yenye mistari. Inavumilia ugonjwa wan dui, madoa pembe na kutu. Inakomaa baada ya siku 85 600-12000 Wastani

26-28Kg

11. Pasi Rangi ya kahawia. Inavumilia magonjwa ya madoa pembe nan dui. Inakomaa baada ya 85. 600-1200 Wastani

26-28Kg

12. Rosenda Rangi nyekundu na mistari. Inavumilia magonjwa yak utu, madoa pembe. Inakomaa baada ya siku 88. 600-1200 Kubwa

36-40Kg

13. Fibea Rangi ya njano ya kupauka/khaki. Inavumilia magonjwa ya madoa pembe nan dui. Inakomaa baada ya siku 84. 600-2000 Kubwa

36-40Kg

14. Uyole 16 Rangi ya njano, Uvumilivu wa magonjwa yak utu, madoa pembe, ndui nab aka halo. Inakomaa baada ya siku 84. 480-1200 Wastani

26-28Kg

15. Uyole nyeupe Rangi nyeupe. Ina uvumilivu wa magonjwa ya ndui, madoa pembe, kutu na baka halo. 600-1200 Kubwa

36-40Kg

 

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *