- Kilimo, Mifugo

Wadudu nyemelezi wa magonjwa huathiri uzalishaji

Sambaza chapisho hili

Moja ya mambo muhimu yanayochangia uzalishaji wa mifugo ni aina na kiasi cha magonjwa yaliyomo katika eneo la ufugaji. Ni muhimu kwa mfugaji kufahamu aina ya magonjwa
yanayoathiri mifugo yake mara kwa mara, na namna ya kukabiliana nayo pamoja na udhibiti wa wadudu na vimelea sababishi.

Pia ni vyema kutambua na kufahamu namna ya kutibu magonjwa nam Wadudu nyemelezi na magonjwa huathiri uzalishaji maambukizi kwa muda unaotakiwa ili kuepuka uzalishaji usiathirike kwa kiasi kikubwa. Mfugaji ambaye hutelekeza mifugo yake bila kuijali, hawezi kufaidika kutokana na mifugo hiyo. Hii ni kwa mifugo ya aina zote, ng’ombe, mbuzi, kuku na aina nyinginezo zinazofugwa kwa ajili ya chakula na biashara.

Endelea kusoma jarida hili mara kwa mara ili uweze kupata taarifa muhimu pamoja na elimu ya kutosha ili kukabiliana na yanayokusibu, pamoja na kuongeza uzalishaji

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *