mbegu bora ya dume

- Mifugo

Uzalishaji bila uchaguzi sahihi wa dume ni sawa na kubahatisha

Wafugaji wengi wamekuwa wakipata ng’ombe wanaozalisha kidogo na kwa kiwango cha chini kutokana na kuangalia ukubwa wa gharama ya mbegu wakidhania kuwa ndiyo upatikanaji wa ng’ombe bora. Vinasaba husaidia kwa kiwango kikubwa katika kupata ng’ombe mzuri wa maziwa. Kuwepo kwa ongezeko la uzalishaji wa maziwa hutegemeana na vitu viwili vifuatavyo; a) Kuboresha mifugo kwa kufanya uchaguzi sahihi wa kizazi. b)…

Soma Zaidi