- Mazingira

Kuna umuhimu gani wa kutumia majivu kwenye udongo?

Sambaza chapisho hili

Majivu yana kiwango cha wastani wa madini kwa mgawanyiko tofauti, potasiamu 5% – 7%, kalishamu 25% – 50%, fosiforasi 1.5% – 2% na madini mengine kwa kiasi kidogo.

Pia mabaki ya chenga za mkaa kwenye majivu yanasaidia sana kunyonya baadhi ya sumu kwenye ardhi.

Matumizi

Tumia kiasi cha kilo 2.5 mpaka 5 kitumike kwenye eneo la mita za mraba 33 au futi 100 za mraba, na majivu yamwagwe wiki 3 – 4 kabla ya kupanda kitu chochote ardhini.

Madhara

Kila kitu kikitumiwa zaidi ya kiasi kina madhara na majivu pia yana madhara kwenye udongo kwa sababu yana hali ya kuwa alkaline zaidi (10 – 12 pH)

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *