Asali ya nyuki wadogo

- Usindikaji

Mbinu rahisi za kuandaa asali

Asilimia kubwa ya asali kwenye soko la ndani, inakuwa imechanganywa na haina kiwango kinachofaa kwa matumizi. Asali nyingi inayouzwa sokoni inakuwa na vitu visivyohitajika kama vile poleni, sehemu za miili ya nyuki, nta na hata taka nyingine zisizo husika na asali. Hii inatokana na uelewa mdogo walio nao wafugaji wa nyuki, juu ya namna ambavyo wanaweza kuweka asali katika ubora…

Soma Zaidi

- Mifugo

Umuhimu wa kuokoa makundi ya nyuki wadogo

Nyuki wadogo huitwa kwa jina maarufu la nyuki wasiouma.  Nyuki hawa wana umbo dogo kulinganisha na nyuki wanaouma lakini pia kila kabila katika Tanzania huwa na majina yake kama nyori, mbuyaa, mpunze, n.k. Mzinga uliotegeshwa katika tundu wanaoingilia nyuki wadogo ardhini kwa lengo la kuwaokoa toka ardhini kuingia kwenye mzinga huo. Nyuki hawa pia hutofautiana kulingana na meneo wanayopatikana.  Wapo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu namna ya kufanya ufugaji wa nyuki wadogo

Nchini Tanzania na maeneo mbalimbali barani Afrika, imekuwa ni mazoea kwa wanaotaka kufanya ufugaji wa nyuki kufuga nyuki wakubwa au maarufu kama nyuki wakali. Aina hii ya nyuki imekuwa ni rahisi kufugwa kwa kuwa uzalishaji wake ni mkubwa zaidi na wanaweza kufugwa kwenye maeneo tofauti tofauti ili mradi kuwe na mahitaji muhimu yanayowawezesha nyuki kuzalisha. Nyuki wakubwa wanaweza kufugwa katika…

Soma Zaidi