Unaweza kufuga kambale kwenye bwawa
January 21st, 2015

      Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel,… zaidi>>

MWONGOZO WA UFUGAJI KUKU
January 9th, 2015

Ndugu wakulima na wadau wote wa Mkulima Mbunifu, Kwanza Heri ya Mwaka Mpya. Sasa unaweza kusoma na kupakua kitabu cha Mwongozo wa ufugaji wa kuku’ kwenye mtandao kwa kufungua anuani http://issuu.com/mkulimambunifu/docs/mwongozo_wa_ufugaji_wa_kuku_for_web Pia,… zaidi>>

Dawa ya asili ya kuhifadhi nafaka
January 7th, 2015

Mara nyingi wakulima hupata mavuno mengi katika mazao ya nafaka kama vile mahindi na maharagwe na hulazimika kuhifadhi kwa muda fulani kwa ajili ya kuuza ama kwa ajili ya chakula cha familia… zaidi>>

Ni hatari kumfunga mbuzi kamba shingoni
December 10th, 2014

    Ni dhahiri kuwa wafugaji wengi wana bidii sana na kuwa na matumaini makubwa kutokana na kazi zao. Hari ya kuwa na uzalishaji mzuri kutokana na mifugo yao pia ni dhahiri…. zaidi>>

Epuka kuchunga mifugo kwenye maeneo hatarishi
December 2nd, 2014

Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ng’ombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na… zaidi>>

Magimbi, mkombozi wakati wa njaa
November 17th, 2014

      Hello Mkulima Mbunifu, naomba maelezo jinsi ya kuzalisha zao la magimbi hali ya hewa, ardhi, mvua au umwagiliaji na mda gani tangu kupanda hadi kuvuna. Asante – David Kilangi…. zaidi>>

Papai, zao linalozalishwa kwa urahisi
September 30th, 2014

  Papai ni tunda lenye ladha nzuri, na rahisi kuliwa. Aina hii ya tunda ni chanzo cha virutubisho muhimu mwilini, ambavyo husaidia kujenga mwili.   Zao hili asili yake ni ukanda wa kitropiki… zaidi>>

Uzoefu husaidia kutambua mnyama anapokuwa kwenye joto
September 29th, 2014

  Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa.   Kushindwa kutambua joto ni chanzo… zaidi>>

Uzalishaji lishe kwa ng’ombe wa maziwa kiasili na kwa gharama nafuu
September 22nd, 2014

      Lishe bora: Ng’ombe hawezi kulaumiwa kwa kushindwa kufanya urutubishaji. Ukosefu wa lishe sahihi husababisha ng’ombe kuwa dhaifu na pia husababisha kutokea kwa magonjwa ambayo huweza kuathiri mfumo wa uzazi…. zaidi>>

Ongeza pato kwa kuzalisha giligilani
August 18th, 2014

  Kilimo cha giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza kukuza maisha ya mkulima kutokana na zao hili la biashara huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna.   Zao hili linalotumika kama kiungo… zaidi>>