Umuhimu wa wakulima kuwa kwenye vikundi
November 9th, 2015

Mimi ni msomaji na mdau wa jarida la Mkulima Mbunifu, ingawa sina kikundi. Napenda kufahamu kuwa ni kwa nini mmekuwa mkisisitiza wakulima kuwe kwenye vikundi, na ndipo wapatiwe huduma za Mkulima Mbunifu,… zaidi>>

Pamoja na kustaafu, bado nategemea kilimo
November 6th, 2015

Kwa wanaopenda maisha rahisi siku hizi wanaweza wasielewe na wakaona kuwa ni jambo la mzaha, lakini kilimo ni muhimu kuliko kuajiriwa.   Ndivyo alivyoanza kueleza mkulimanhuyu mzee Godson Zakayo Mollel aliyekuwa akifanya… zaidi>>

Shubiri mwitu tiba ya magonjwa ya kuku
November 6th, 2015

Kuku ni moja ya miradi inayofanywa kwa wingi na watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wakulima na wafugaji, na wanaofanya shughuli nyinginezo.     Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili na kuzungumziwa mara… zaidi>>

Ongeza pato kwa kutengeneza siagi ya karanga
November 6th, 2015

  Mara nyingi, ni vizuri kuwaza kuwa kila zao unalozalisha unawezaje kuliboresha na kukupatia kipato zaidi. Wakulima wa karanga walio wengi wamezoea tu kulima na kuuza karanga mara baada ya kuvuna na… zaidi>>

TAHADHARI: Kuwa makini
September 11th, 2015

Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu na msikilizaji wa kipindi cha redio cha mkulima mbunifu. Kuna kijana anayefahamika kwa jina la Bw. Alex Kitomari, mfugaji wa kuku, na bata hasa… zaidi>>

Matatizo yanayokabili kilimo cha migomba
August 28th, 2015

Ndizi ni zao ambalo limepokelewa na wananchi wa wilaya mbalimbali hapa nchini na kwa baadhi ya jamii hakuna chakula kingine isipokuwa ndizi ambacho ndicho chakula chao kikuu. Katika miaka iliyopita, mikoa inayolima… zaidi>>

Uzalishaji bila uchaguzi sahihi wa dume ni kufanya kazi kwa kubahatisha
August 4th, 2015

  Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya malisho kwa ng’ombe. Wafugaji wengi wamekuwa… zaidi>>

Fahamu ni aina gani ya ng’ombe wa maziwa ni bora zaidi kufuga kwa lengo la kuzalisha
July 2nd, 2015

Uzalishaji wa maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo, ni lazima kuanza kwa kuweka… zaidi>>

Uhifadhi wa malighafi na chakula cha samaki
June 22nd, 2015

Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji kuwa atapata… zaidi>>

Unaweza kuongeza pato kwa kuzalisha bamia
June 10th, 2015

Bamia ni zao linalolimwa sana nchi za joto. Zao hili hutumika kama mboga inayoliwa matunda.   Asili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili… zaidi>>