Vacancy – Mkulima Mbunifu Radio Assistant
April 15th, 2014

Mkulima Mbunifu Programme (MkM) is a farmer communication initiative that aims to improve access to and utilization of information on sustainable agricultural practices and technologies by small-scale farmers in Tanzania and neighbouring… zaidi>>

Fuko, mnyama hatari kwa mazao yako
March 20th, 2014

Fuko ni aina ya mnyama mdogo anayeishi chini ya ardhi kwenye mashimo. Mnyama huyu hutumia kiwango kidogo sana cha hewa ya oksijeni. Fuko hupatikana sehemu za wazi ambazo hazina misitu minene, na… zaidi>>

Zalisha matango uboreshe kipato kwa muda mfupi
February 17th, 2014

    Matango (cucumber) ni zao muhimu katika mazao ya mboga na matunda nchini Tanzania na hata nje ya Tanzania.   Hili ni zao la biashara, pia chakula. Zao hili hustawi na… zaidi>>

Ufugaji wa samaki kwenye bwawa
January 29th, 2014

   “Nina shamba maeneo ya Bunju Dar es salaam. Ningependa kufuga samaki kibiashara. Maji ya uhakika ni ya kisima na yana chumvi kiasi. Napenda kupata maelezo zaidi yatakayoniwezesha kuanza ufugaji huu.”-Angela,Dar es… zaidi>>

Ni muhimu kuzingatia utunzaji wa vifaranga
January 23rd, 2014

Kwa karne na miaka mingi, ufugaji wa kuku imekuwa ni kazi muhimu na inayokubalika katika jamii nyingi. Ni kazi isiyohitaji gharama kubwa sana, ambayo imekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa kwa wanaiofanya… zaidi>>

Fuga kondoo kisasa uboreshe pato lako
January 17th, 2014

  “Katika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya ufugaji bora wa kondoo.”… zaidi>>

Kabichi, faida lukuki kiuchumi na kiafya
October 29th, 2013

Unaweza kulima kabichi msimu wote wa mwaka. Soko lake ni la uhakika katika kipindi chote na ni muhimu kwa afya. Pia, linaweza kutumika kama malisho ya mifugo Kabichi ni moja ya mazao… zaidi>>

Mtama silaha ya kukabili uhaba wa chakula
October 29th, 2013

Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina nyingine za mazao ya nafaka. Mtama una uwezo mkubwa wa kustahimili ukame. Mtama unaweza kutumika kwa kuchemshwa na kuliwa… zaidi>>

Jenga nyumba ya nyuki upate faida zaidi
September 11th, 2013

Kufuga nyuki na kuzalisha asali kwa mtindo wa kisasa kwa kujenga nyumba ya nyuki inamwezesha mfugaji kuongeza uzalishaji pamoja na kipato. Ufugaji wa nyuki ni kazi ambayo imekuwepo na kudumu kwa karne… zaidi>>

Hongera Mkulima Mbunifu
September 11th, 2013

Ni dhahiri kuwa kila mtu anapoanzisha jambo fulani, anategemea kupiga hatua na kupata mafanikio juu ya jambo husika, na kunapokuwa na mafanikio huambatana na furaha isiyo kifani. Tangu kuanzishwa jarida la Mkulima… zaidi>>