Fahamu kwa undani kuhusu sumu kuvu
February 12th, 2016

  Tanzania ni nchi iliyo katika ukanda wa kitropiki, ambapo kiasi kikubwa cha sumu kuvu huzalishwa hasa katika mazao ya nafaka kama vile mahindi, karanga na kunde.   Sumu kuvu inayojulikana kitaalamu… zaidi>>

Kikundi cha Tumaini wanaonesha njia katika usindikaji
January 18th, 2016

  Kuna msemo usemao, shida ni mwalimu mzuri, na penye nia pana njia. Hili linadhihirika kutoka kwa kikundi cha kina mama cha Tumaini kilichopo King’ori Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Hii ni… zaidi>>

Fahamu namna ya kutengeneza chachandu ya mboga kuepuka upotevu na uongeze kipato
January 18th, 2016

Msimu ambao mboga hasa za matunda kama vile nyanya na nyinginezo zinapokuwa nyingi, wakulima hupata hasara kubwa sana inayotokana na mazao hayo kuharibika haraka kutokana na uhaba wa soko.   Uzalishaji wa… zaidi>>

Umuhimu wa wakulima kuwa kwenye vikundi
November 9th, 2015

Mimi ni msomaji na mdau wa jarida la Mkulima Mbunifu, ingawa sina kikundi. Napenda kufahamu kuwa ni kwa nini mmekuwa mkisisitiza wakulima kuwe kwenye vikundi, na ndipo wapatiwe huduma za Mkulima Mbunifu,… zaidi>>

Pamoja na kustaafu, bado nategemea kilimo
November 6th, 2015

Kwa wanaopenda maisha rahisi siku hizi wanaweza wasielewe na wakaona kuwa ni jambo la mzaha, lakini kilimo ni muhimu kuliko kuajiriwa.   Ndivyo alivyoanza kueleza mkulimanhuyu mzee Godson Zakayo Mollel aliyekuwa akifanya… zaidi>>

Shubiri mwitu tiba ya magonjwa ya kuku
November 6th, 2015

Kuku ni moja ya miradi inayofanywa kwa wingi na watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wakulima na wafugaji, na wanaofanya shughuli nyinginezo.     Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili na kuzungumziwa mara… zaidi>>

Ongeza pato kwa kutengeneza siagi ya karanga
November 6th, 2015

  Mara nyingi, ni vizuri kuwaza kuwa kila zao unalozalisha unawezaje kuliboresha na kukupatia kipato zaidi. Wakulima wa karanga walio wengi wamezoea tu kulima na kuuza karanga mara baada ya kuvuna na… zaidi>>

TAHADHARI: Kuwa makini
September 11th, 2015

Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu na msikilizaji wa kipindi cha redio cha mkulima mbunifu. Kuna kijana anayefahamika kwa jina la Bw. Alex Kitomari, mfugaji wa kuku, na bata hasa… zaidi>>

Matatizo yanayokabili kilimo cha migomba
August 28th, 2015

Ndizi ni zao ambalo limepokelewa na wananchi wa wilaya mbalimbali hapa nchini na kwa baadhi ya jamii hakuna chakula kingine isipokuwa ndizi ambacho ndicho chakula chao kikuu. Katika miaka iliyopita, mikoa inayolima… zaidi>>

Uzalishaji bila uchaguzi sahihi wa dume ni kufanya kazi kwa kubahatisha
August 4th, 2015

  Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya malisho kwa ng’ombe. Wafugaji wengi wamekuwa… zaidi>>