Chanjo huokoa kuku na kuongeza pato
April 9th, 2015

Watu wengi wamekuwa wakianzisha miradi ya ufugaji wa kuku bila kuzingatia kanuni bora za utekelezaji wa mradi huo. Moja ya mambo ambayo wafugaji mara nyingi husahau kuzingatia ni utoaji wa chanjo sahihi… zaidi>>

Usindikaji wa ndizi umeniwezesha kuanzisha miradi mingine
March 17th, 2015

Siku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo. Ndivyo… zaidi>>

Mbolea ya asili inayotokana na magugu maji
February 6th, 2015

Hii ni aina ya mbolea ya asili isiyokuwa na madhara yoyote kwa binadamu na wanyama. Mbolea hii hutengenezwa kwa kuvundika mimea ya baharini au maotea ya majini.   Aina hii ya mbolea… zaidi>>

Ugonjwa wa miguu na midomo (FMD)
February 3rd, 2015

Huu ni ugonjwa unaowashika ng’ombe, kondoo, mbuzi, pamoja na wanyama wa porini kama mbogo, swala na wakati mwingine tembo.   Ugonjwa wa miguu na midomo husambaa haraka kwenye kundi ukiua ndama na… zaidi>>

Liki: Zao lisiloshambuliwa na magonjwa
January 28th, 2015

Ni vyema kuchagua aina ya mazao ambayo hayana gharama kubwa kuzalisha, wakati huo huo yakiwa na faidi kubwa. Liki ni moja ya mazao ya mbogamboga ambayo yanapata umaarufu mkubwa nchini Tanzania, kutokana… zaidi>>

Unaweza kufuga kambale kwenye bwawa
January 21st, 2015

      Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel,… zaidi>>

MWONGOZO WA UFUGAJI KUKU
January 9th, 2015

Ndugu wakulima na wadau wote wa Mkulima Mbunifu, Kwanza Heri ya Mwaka Mpya. Sasa unaweza kusoma na kupakua kitabu cha Mwongozo wa ufugaji wa kuku’ kwenye mtandao kwa kufungua anuani http://issuu.com/mkulimambunifu/docs/mwongozo_wa_ufugaji_wa_kuku_for_web Pia,… zaidi>>

Dawa ya asili ya kuhifadhi nafaka
January 7th, 2015

Mara nyingi wakulima hupata mavuno mengi katika mazao ya nafaka kama vile mahindi na maharagwe na hulazimika kuhifadhi kwa muda fulani kwa ajili ya kuuza ama kwa ajili ya chakula cha familia… zaidi>>

Ni hatari kumfunga mbuzi kamba shingoni
December 10th, 2014

    Ni dhahiri kuwa wafugaji wengi wana bidii sana na kuwa na matumaini makubwa kutokana na kazi zao. Hari ya kuwa na uzalishaji mzuri kutokana na mifugo yao pia ni dhahiri…. zaidi>>

Epuka kuchunga mifugo kwenye maeneo hatarishi
December 2nd, 2014

Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ng’ombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na… zaidi>>